MH. ESTHER N. MATIKO AENDELEA KUTIMIZA AHADI ZAKE KWA WANANCHI WA TARIME MJINI
Na Mwandishi wako Peter
Moja ya ahadi za Mh Matiko kipindi cha Kampeni kunako septer-october 2015 ilikua ni kuakikisha Mnada wa Ng'ombe Magena unafunguliwa na kuanza kufanya kazi. Ndani ya Ilani ya Mh Matiko mnada huo ulielezwa vyema ni jinsi gani utakwenda kua sehemu kuu ya uchumi kwa wananchi wa Tarime Mjini.
Mnada wa Magena ulifungwa na serikali mwaka 2003 kutokana na sababu mbalimbali wakati huo. Tangu kuapishwa kwa Wabunge wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mh Matiko aliendelea kuakini Mnada wa Magena unakila sababu ya Kufunguliwa tena na kuanza kufanya kazi.
Katika kipindi cha Maswali na Majibu Mh Matiko aliuliza swali lake kuhusu mnada wa Magena kwa Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo ni lini serikali itaufungua Mnada wa Magena na kua chanzo cha mapato kwa wananchi wa Tarime.
Mh Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba alihaidi kufika Mnada wa Magena baada ya juhudi kubwa zinazofanywa na Mh Matiko kufunguliwa kwa mnada huo. Mwigulu amefika kwenye Mnada wa Magena akiwa ameambatana na Mh Matiko na kuhaidi mbele ya wananchi wa Tarime Mjini mnada huo utaenda kufunguliwa mda sio mrefu kwani sababu zilizofanya kufungwa kwa mnada tayali zimetatuliwa, Mh Mwigulu Nchemba aliyasema hayo ndani ya viwanja vya serengeti kwenye Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na Mh Matiko.
Wananchi wa Tarime Mjini Mjini wamemshukuru sana Mh Matiko kwa juhudi anazozifanya kuakikisha anatimiza yale aliyoyahidi kipindi cha Kampeni. Hii imejizilisha baada ya Waziri wa Kilimo, uvuvi na Mifugo kushiriki kwenye mkutano ulioandaliwa na Mh Matiko pamoja na viongozi wa Chadema wilaya ya Tarime.
Kiongozi huyo wa kiserikali amewasihii wananchi wa Tarime Mjini kumuunga mkono Mh Matiko kwa juhudi zake za kuwapigania na kuakikisha Tarime inasonga mbele kwenye Maendeleo. Pia Mh Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Mh Salumu Mwalimu alimpongeza Mh Waziri kwa kukubaki kile kinachofanywa na Mh Matiko kuwaletea wananchi wake Maendeleo
Mh Ester Matiko, mbunge wa Tarime mjini (Chadema) akiwa na waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi Mh Mwigulu Nchemba wakiwa jimboni Tarime.
Mh. Mwigulu Nchemba (CCM), waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi akiteta jambo na Mh. Ester
Wananchi wakisekiliza neno toka kwa mbunge wao
Moja ya ahadi za Mh Matiko kipindi cha Kampeni kunako septer-october 2015 ilikua ni kuakikisha Mnada wa Ng'ombe Magena unafunguliwa na kuanza kufanya kazi. Ndani ya Ilani ya Mh Matiko mnada huo ulielezwa vyema ni jinsi gani utakwenda kua sehemu kuu ya uchumi kwa wananchi wa Tarime Mjini.
Mnada wa Magena ulifungwa na serikali mwaka 2003 kutokana na sababu mbalimbali wakati huo. Tangu kuapishwa kwa Wabunge wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mh Matiko aliendelea kuakini Mnada wa Magena unakila sababu ya Kufunguliwa tena na kuanza kufanya kazi.
Katika kipindi cha Maswali na Majibu Mh Matiko aliuliza swali lake kuhusu mnada wa Magena kwa Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Mifugo ni lini serikali itaufungua Mnada wa Magena na kua chanzo cha mapato kwa wananchi wa Tarime.
Mh Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba alihaidi kufika Mnada wa Magena baada ya juhudi kubwa zinazofanywa na Mh Matiko kufunguliwa kwa mnada huo. Mwigulu amefika kwenye Mnada wa Magena akiwa ameambatana na Mh Matiko na kuhaidi mbele ya wananchi wa Tarime Mjini mnada huo utaenda kufunguliwa mda sio mrefu kwani sababu zilizofanya kufungwa kwa mnada tayali zimetatuliwa, Mh Mwigulu Nchemba aliyasema hayo ndani ya viwanja vya serengeti kwenye Mkutano wa Hadhara ulioandaliwa na Mh Matiko.
Wananchi wa Tarime Mjini Mjini wamemshukuru sana Mh Matiko kwa juhudi anazozifanya kuakikisha anatimiza yale aliyoyahidi kipindi cha Kampeni. Hii imejizilisha baada ya Waziri wa Kilimo, uvuvi na Mifugo kushiriki kwenye mkutano ulioandaliwa na Mh Matiko pamoja na viongozi wa Chadema wilaya ya Tarime.
Kiongozi huyo wa kiserikali amewasihii wananchi wa Tarime Mjini kumuunga mkono Mh Matiko kwa juhudi zake za kuwapigania na kuakikisha Tarime inasonga mbele kwenye Maendeleo. Pia Mh Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Mh Salumu Mwalimu alimpongeza Mh Waziri kwa kukubaki kile kinachofanywa na Mh Matiko kuwaletea wananchi wake Maendeleo
Comments
Post a Comment