BREAKING NEWS : WABUNGE WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WASUSIA BUNGE NA KUTOKA NJE
Wabunge wa kambi rasmi ya upinzani, watoka nje ya ukumbi wa bunge,,wakisusia kujadili bajeti ya waziri mkuu leo hii jioni wakizungumza na mwandishi wegu wabunge hao wametoa sababu kuu mbili
Sababu ya kwanza ikiwa ni hakuna mwongozo wa kuendesha serikali mpaka sasa, inasemekan hadi hii leo wanatumia muongozo uliotumika na serikali iliyopita.
Sababu ya pili ni kwamba wanahoji kwanini wanahabari waziiwe kuingia bungeni
Endelea kufuatilia hapa tutazidi kukujuza kadri ya tutakavyopata habari
Comments
Post a Comment