SAMSON MWIGAMBA AJIUZULU NAFASI YAKE YA UKATIBU MKUU ACT - WAZALENDO


Pichani ni mh Mwigamba katibu mkuu wa ACT wazalendo aliyejiuzulu  nafasi yake kwa sababu anakwenda masomoni nchini Kenya 



Katibu mkuu wa chama cha ACT wazalendo Samson Mwigamba ameamua kujiuzulu nafasi yake ya ukatibu mkuu wa chama. Mwigamba anasema kuwa ameamua kuchukua uamuzi huo kwa sababu anakwenda masomoni inchini Kenya. Kamati ya uongozi wa chama chake wameridhia na kupokea maombi ya katibu huyo, zaidi wamempongeza kwa juhudi zake na uwezo wake katika harakati za kukikuza chama hicho cha upinzani nchini Tanzania,

Aidha Mwigamba anasema yeye atabaki kuwa mwanachama hai wa chama cha ACT wazalendo na atashirikiana na wanachama wenzake na viongozi kwa ujumla katika kuendeleza harakati za kukitangaza na kukieneza chama chao nchini na amewashukuru viongozi wenzake, wanachama wenzake na wananchi kwa ujumla kwa ushirikiano wao.
Kwa mjibu wa kamati ya uongozi machamato wa kupata katibu mwingine utatangazwa wakati wowote ili mtu mwingine aendeleze harakati za kukijenga chama hicho.

Comments

  1. Vidnesbyrd om, hvordan jeg modtog mit lån med 2% (Frank Loans Services) E-mail: k.frankloans@gmail.com

    Jeg vil uden forbehold anbefale at arbejde med Frank Loan Services, hvis du er på markedet for et boliglån. Jeg har talt med mange mæglere, mens jeg købte mit realkreditlån online. Fra den første kontakt kunne jeg fortælle, at han er den type person, jeg kunne stole på for at hjælpe mig med at træffe den bedste beslutning for mig og min familie. De tilbyder både korte og lange vilkår udlån inden for 1-30 år lånets varighed, med eller uden sikkerhed, men ingen kreditkontrol, og deres tjenester er hurtige, pålidelige og pålidelige, fordi de er blevet testet og tillid til mig i modsætning til andre virksomheder.

    Deres tjenester inkluderer refinansieringslån, lastbilslån, uddannelseslån, studielån, personlige lån, billån, gældskonsolideringslån, erhvervslån, sikret og usikret lån, realkreditlån, boliglån. Kontakt dem venligst i dag for yderligere forespørgsler via e-mail : k.frankloans@gmail.com

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI