RAIS WA MAREKANI BARAKI OBAMA AKERWA NA MAUAJI YA WAMAREKANI WEUSI, AMESIKITISHWA SANA NA KITENDO HICHO CHA KIKATILI NA KIBAGUZI


Rais wa Marekani (USA) Barak Obama amesema mauaji ya watu tisa
ndani ya Kanisa Wamarekani Weusi katika
eneo la Charleston, jimbo la Carolina
Kusini yanaibua maswali mengi sana

Aidha Mh Barak Obama amesema chuki
miongoni mwa jamii kwa misingi ya rangi na
imani ni kitisho kwa demokrasia ya Marekani amelaani vikali kitendo hicho na vitendo vingine vinavyoweza kuhatarisha umoja wao, ameyasema hayo mda mfupi baada ya kijana wa kizungu aliyehusika kufanya mauaji hayo ya watu tisa kukamatwa.

Pia ametaka kufanyika kwa mabadiliko ya pamoja
katika fikra za Wamarekani kuhusu ghasia
zinazosababishwa na matumizi ya silaha.

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI