DUNIA YOTE, IKULU HAIJAWAHI KUKALIWA NA WEZI, WATANZANIA MJUE HILI CCM HAIFAI
Dunia yote ikulu haijawahi kukaliwa na wezi,watanzania mjue hili ccm haifai!
Na Anord Ringo
Mwaka 2000, ccm ilikuja na mgombea Urais ikimwita chaguo la Mungu,kwamba kijana mwenzao anajua matatizo yao.
Alipoingia tu,ikulu sura ya nchi ilibadilika,tukashuhudia matajiri kama Rostam azizi,yenye makampuni ya Caspian kupewa vyeo ndani ya chama,Ni wakati huu Aboud,Dewji,Azan zungu na wengineo matajiri na mafisadi ya yakakivamia chama na kugeuza chama cha wapiga dili.
Ni wakati huo rushwa kwenye mikataba,rushwa maofisini.
Ni wakati huu tuliahidiwa haya:
1. Kurudisha nyumba zetu zilizouzwa chini ya utawala wa awamu ya tatu,
2. Hatukuahidiwa kupambana na rushwa,ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma.
3. Iliahidi kukusanya kodi,
4. Iliahidi kujenga nyumba za walimu,
5. Iliahidi kuimarisha michezo,
6. Iliahidi kupanua wigo wa ajira,
7. Iliahidi kupambana na umaskini,
8. Iliahidi kukomesha madeni ya serikali,
9. Iliahidi kulinda raslimali za nchi,
10. Iliahidi kuachana na ombaomba,
Mwaka 2008 tulishuhudia anguko la serikali ya ccm,chini ya kinara Lowassa aliyekuwa meneja kampeni waliunda kundi lao lilokuwa na Nazir karamagi,Lowassa,Rostam Aziz hawa kupitia mkataba wa Richmond chini ya Lowassa aliyekuwa waziri mkuu,uhuni wa kuingia mkataba ambao uliliingiza Taifa pabaya chini ya kamati ya Mwakyembe uozo mwingine ulifichwa watu hawa walijiuzuru.
Mwaka 2010, ccm chini ya Rais kikwete,ilikuja na ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi, wakati huo alikwenda mbali akaenda Bariadi akamnadi Chenge,alienda Monduli akamnadi Lowassa,alienda Igunga akamnadi Rostam Aziz kuwa ni watu waadirifu.
Maskini serikali ya wezi ikarudi madarakani.
Imepita miaka 7 hadi tunaingia kwenye uchaguzi.
Timu iliyojulikana kuwa ni kundi la mafisadi,leo inaanza safari ya matumaini kushawishi umma uingie kingi kuchagua kundi lilelile kwenda kuchuma ikulu kwa maneno mazuri.
Akioongea na wahariri Lowassa alisema " tunayo geai,tutaitumia kukopa fedha za maendeleo" Dodoma
Akiwa amezungukwa na Rostam Aziz,Nazir karamagi na kuteua mkurugenzi wa Haki Elimu kama mdau wa mtia nia,walionekana kuwa watakuwa wafadhili wa Edward Ngoyaye Lowassa!
Haishangazi kuona watu pande nne za nchi hii ya Tanzania,walipewa mabasi na magari na posho za fedha ili kuhadaa umma kuwa wanapendwa na wanahitajika.
Juhudi zilitumika kuwasafisha bungeni,lakini wamechelewa!
Juzi jumamosi,kundi lilelile la waliobeba fedha za Escrow liliingia Arusha kumuunga mkono Mgombea Lowassa
Haikushangaza Bakari Mwapachu,Tibaijuka ,Karamagi na Joseph Msukuma hawa hata kodi haijulikani kama wanalipa.
Kwa mbwembwe za wasanii Lowassa alisema atakomesha rushwa,atakuwa na serikali ambayo sio ombaomba,tuwaelewe vipi?
Huku akisema atakopa,leo anasema uchumi usiotegemezi.
Alikuwepo alipoona maji hayapatikani,alikuwepo rafiki yake akikopa kila siku,atueleze safari ya matumaini ilipoahindikana kwa mwanakada mwenzake badala yake imewajaza ufisadi itawezekana?
Pesa,zilizotumika kuwaita akina Ana Makinda Arusha,kangi Lugola,Kingunge ngombale mwiru zilitoka wapi?
Haiwezekani,nchi hii hatuhitaji kuwa na wezi,obama aliingia akiwa maskini na ataondoka akiwa maskini cha msingi,ataondoka akiwa ameimarisha uchumi na mahusiano ya nchi yao na nchi za nje!
Ccm tangu 1995-2015, ccm inakopa tu,na kuacha raslimali zinauzwa?, madini yameuzwa na hata wanyama kila kona ni wizi.
Halmashauri,zinazoingiwa na watu waliohonga kuanzia kwenye kura za maoni hadi uchaguzi itaachache kusababisha hati chafu?
Ccm imepoteza dira,imegeuka kuwa genge la matapeli.imetosha huwezi kushabikia ccm huku watoto wanasoma wakiwa wamekaa chini,
Wazazi wanahangaika kuchangia maji,ulinzi,madawati,mifagio na hata umeme wakati fedha zinaliwa ccm utawaambiaje watanzania?
Ccm sasa basi

Comments
Post a Comment