MAZINGAOMBWE YA SAFARI YA MATUMAINI
SAFARI YA MATUMAINI NA MAZINGAOMBWE.
Na Patrick Tungu.
Nimesikia wakisema "Safari ya matumaini" waliyoaza nayo leo kuelekea magogoni. Ni jambo la kushangaza sana kuendelea kuamini mazingaombwe ya watia nia kutoka CCM. Sasa najiuliza kwanini iwe ni Safari ya matumaini na sio ya uhakika, inamaani hatutafika?
Nimeamua kuandika ili wananchi wengine wajue hatuhitaji safari ya matumaini tunahitaji kiongozi atakayefanya kwa vitendo katika kila sekta.
Nipo arusha tangu mchana wa leo nimetokea Dodoma bungeni asubuhi lakini nilichokiona huku ni lindi la upotofu na huluka za kimaslai tu lakini pia watu wamekuja kusikia jamaa anasema nini? Japo asimilimia kubwa ya waliohudhuria wamelipwa pesa yaani wametolewa mikoani kwa gharama kubwa, ni aibu sana hata wanaojiita wasomi wa vyuo vikuu pamoja na kulia Boom lakini waliletwa pale. Eti 4U ndo nini sasa?
Nilichoumia zaidi zaidi baada ya Balozi mmoja nchi za nje alipomuinbox Aunt yangu aliyepo huko ughaibuni akimweliza pesa kubwa iliyotumika leo katika tukio tu la kutia nia.Mimi nimeipata kwenye group la familia yaani kutia nia tu jamaa katumia zaidi ya 1.3 billion, sasa jiulize je kazitoa wapi pesa zote hizi ?
Hakika nilipatwa na butwaaa nikatahamaki japo kuwa inasemekana jamaa pesa anayo lakini niliendelea kujiuliza kama jamaa kasacrify one billion kwenye issue kama hii tu na alishatumia pesa kibao tangu nyuma na mpaka sasa anatumia pesa na tuendako ndo atatumia nyingi zaidi.
Maswali mengi yakanijia je huyu jamaa hasa anabiashara gani halali ziziso wazi ambazo zinamwingizia pesa zote hizi?
Je anazipataje na analipia kodi au la?
1.3bilion ingesaidia masikini wangapi? Ingejenga madarasa mangapi? Zahanati ngapi? CT scan ngapi? Huku maswali yakiendelea kunijia nikaona yawezekana jamaa ndiye tajiri Tanzania?
Wakati nikipiga story na jamaa yangu mmoja akaniambia anamarafiki wanaompa pesa hizo
Duuuh maswali yakanijia tena kama kuna marafiki wanampa pesa hizo je ? Ikulu itakuwa salama huko tuendako endapo atafanikisha lengo lake la kuutafuta Urais
Atawarudishiaje hao marafi?
Je uwajibikaji utakuwepo? Watakaoshika nyadhifa ni hao marafiki zake au wengine? Na hao rafiki zake ni wa ndani au nje?
Kaa chini tafakari nami natafakari na kutafuta namna ya kufanya UKAWA ishinde kwa kishindo
Nipo arusha mpaka sasa natafakari maswali mengi juu ya huyu jamaa lakin naamin ushindi wa kweli waja juu ya vita hiii.
Pambana kadri uwezavyo
Unataka safari ya matumaini isiyo ya uhakika hahahahaha
Ahsante

Comments
Post a Comment