SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO IPO TAYARI

Mtambo wa kuingilia mawasiliano ya mtu yeyote nchini wazinduliwa, Kuweni makini.

 Yericko Nyerere 11:12 Today


Ndg wanajamvi mtambo wakuingilia mawasiliano ya mtu yeyote na wakati wowote upo tayari, wao serikali wanauita ni mtambo wa kunasa wahalifu wa mitandaoni, tayari umezinduliwa.

 Ilikuwa azindue makamu wa rais lakini kapata udhuru na hivyo anazindua waziri Mbalawa.

 Kuanzia dakika hii tuwe makini na habari tunazotuma katika mitandao ya kijamini au simu tunazopiga na kuongea, au meseji tunazotumiana.

 Tuepuke kutuma meseji zinazo wakwaza wakuu wa mamlaka na walalaheri ambazo zinaweza kuvunja amani yao na kujenga amani yetu walalahoi,


 Tuepuke kutuma picha zisizosahihi kwao, picha za ajali maiti,za watoto,udhalilishaji n.k.
 Zingatieni sheria tayari iko mezani inasubiri ukosee uone hasira ya mlalaheri kwa pepo ya mabwege wa jamhuri ya majuha

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI