PATA ELIMU BURE KUHUSU MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII, NI ELIMU ITAKAYOKUSAIDIA KUCHAGUA MFUKO SAHIHI KWA AJILI YA MAISHA YAKO.
Na Laurent
Mifuko ya hifadhi ya jamii (social security funds) ni mifuko inayotoa mafao pindi mwanachama apotezapo uwezo wa kupata kipato kwa kudumu(permanent loss of income)
Hii inaweza sababishwa na
1.uzee(old age/retirement)
2.ulemavu(disability)
3.kifo (death)
Kuna aina mbili za mifuko ya hifadhi ya jamii
1.defined benefits schemes-ambapo fomula ya kukokotoa mafao atakayolipwa mwanachama inajulikana lakini fomula ya kukokotoa kiasi anachochangia hakijulikani.
2.Defined contributions schemes-ambapo fomula ya michango inajulikana lakini hakuna fomula ya mafao.
Mara nyingi defined contributions schemes inatumika hasa kwa wafanyakazi wasio na mikataba ya kudumu ya ajira..
Tanzania bara kuna mifuko 5
1.National social security fund (NSSF)
2.PPF pensions fund (zamani parastatal pensions fund)
3.LAPF Pensions fund(zamani local authorities pension fund)
4.Public employees pensions fund(PSPF)
5.GEPF pension fund(zaman Government employees providend fund)
Mifuko yote hii inasimamiwa na mdhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii SSRA(Social Security Regulatory Authority)
Zanzibar kuna Zanzibar social security fund(ZSSF) ambao unafanya kazi Z'bar na hausimamiwi na SSRA.
N.B
Hadi 2013 GEPF ndio ulikua mfuko pekee ambao ulikua typical defined contributions kwa Tanzania
Ila kwa sasa mifuko yote hapo juu ni defined benefits schemes
AINA ZA MAFAO
Kulingana na muongozo wa International Labor Organization(ILO) kuna aina kuu tatu za mafao.
1.Fao la uzeeni(old age/retirement benefit)
2.Fao la urithi(survivors benefit)
3.Fao la ulemavu(disability benefits)
Pia mifuko inaweza kutoa mafao ambatano(supplementary benefits) kulingana na inavoona inafaa.mfano
-education grants
-death gratuity
-health insurance
-maternity grants n.k.
N.B
*Lengo la mifuko ya hifadhi ya jamii ni kutoa ulinzi wa kipato pindi mwanachama apotezapo uwezo wa kupata kipato wa kudumu(insurance on permanent loss of income)
* WITHDRAWAL BENEFITS kulingana na maana ya mifuko ya hifadhi ya jamii hii si moja ya mafao ambayo yanatakiwa kutolewa na Social Security Funds(SSF), kwa kuwa mwanachama husika anakuwa hajapoteza uwezo wa kudumu wa kujipatia kipato. kuna kipindi ambacho serikali kupitia bunge ilipitisha sheria kufuta hili japo baadae iliondoa tena hiyo sheria.
*Sheria inahitaji kila mfuko kufanyiwa actuarial valuation na qualified actuary(mtakwimu-bima) kila baada ya miaka mitatu..ambapo inahusisha projections of fund's assets and liabilities..
Kwa lugha rahisi Hii inahusisha kupima uwezo wa mfuko kulipa wanachama wake .

Comments
Post a Comment