TANZIA:MH TAMBWE HIZA, KIONGOZI NA KADA MAARUFU WA CHADEMA AFARIKI DUNIA ASUBUHI YA LEO

Mwanasiasa maarufu na wa siku nyingi Tambwe Hizza amefariki leo alfajiri nyumbani kwake jijini Dar es salaam.Marehemu Tambwe Hizza amefariki akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa pumu na amefariki akiwa ni mmoja wa waratibu wa kampeni za chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) katika jimbo la Kinondoni:Taarifa hizi zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Ubungo@Boniface Jacob
Na mmoja wa wanafamilia

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

Posho hii ifike hadi kwa walimu