CHADEMA YAENDELEA KUCHANJA MBUGA KINONDONI HUKU MAELFU YA WANANCHI WAKIWAUNGA MKONO

Pichani:Wananchi wa kata ya Magomeni waliojitokeza kwa wingi kuwasikiliza viongozi na Mgombea wa Chadema

Pichan:Wanachi wa kata ya magomeni wakiwa na nyuso za furaha wakati wakisikiliza sera za mgombea wa chadema  kata ya magomeni

Pichani:Mgombea wa Chadema Salum Mwalimu  akiomba kura kwa wananchi wa Kata ya Magomeni waliofurika kumsikiliza

Pichani:Mh Boniface Jacob ,Mstahiki Meya wa Ubungo akimnadi Mgombea wa Chadema Ndg Salumu Mwalimu, katika  Mkutano wa Kampeni za CHADEMA uliofanyika leo Kata ya Magomeni jijini Dar Es Salaam ambapo Meya wa Ubungo Boniface Jacob alikuwa Mgeni rasmi wa Mkutano huu.

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

Posho hii ifike hadi kwa walimu