MASAA SABA YA MH.SUGU (MBUNGE) uuNA MASONGA MAHAKANI



Kesi ya Mh , Sugu na Masonga imenguruma leo kwa saa saba , kuanzia saa 5:00 asubuhi mpaka saa 12 : 08 Jioni.

Kesi itaendelea kesho saa 3 :00 asubuhi kwa RCO na RPC  wa Mkoa wa Mbeya kuja kutoa ushahidi wao.

Sugu na Masonga wamerudi gerezani mpaka kesho.

Mwenyekiti Bavicha manispaa ya Iringa mjini Alonga na mwandishi wetu kutoka nyanda za juu kusini.

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

Posho hii ifike hadi kwa walimu