BREAKING NEWS: WAKILI ANAYEMTETEA SUGU NA MASONGA ACHARUKA

Pichani:Wakili Peter Kibatala

Mabishano makali ya kisheria yasababisha kesi kuiarishwa kwa mda........

Wakili Kibatala amecharuka na kutaka aombwe radhi na wakili wa Serikali Joseph Pandu baada ya kumuita yeye ni mwanasiasa na  anaendesha hiyo kesi kisiasa.

" Wewe ni mwanasiasa na una uanachama wa CHADEMA ......"Acha kuendesha hii kesi kisiasa na endapo nitatakiwa na Mahakama hii kuthibitisha uanachama wako nitafanya hivyo ndani ya miezi miwili".... Joseph Pandu.

Kesi itarejea baadaye , Hakimu amewaita mawakili wote kwenda ofisini kwake kuweka mambo sawa ......

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

Posho hii ifike hadi kwa walimu