BREAKING NEWS:MH SUGU NA MASONGA WAACHIWA HURU KWA DHAMANA
MH. SUGU NA MSONGA WAACHIWA HURU KWA DHAMANA MUDA HUU SAA 19: 03 USIKU KATIKA MAHAKAMA YA MKOA WA MBEYA BAADA YA KESI YAO KUSIKILIZWA KWA SIKU NBILI MFULULIZO .
HUKUMU ITATOLEWA TAR 26/02/2018.
Leonce Marto Mwenyekiti Bavicha Iringa mjini amethibitisha akiwa katika mahojiano mwandishi wetu
Leonce Marto ametoa Shukrani za dhati kwa Wakili Kibatala na wenzake pamoja na wananchi wote wa jiji la Mbeya
Comments
Post a Comment