DHANA YA UONGOZI NA UTAWALA WA SHERIA TANZANIA
Na Emmanuel Chengula,
Kiongozi ni mtu ambaye amechaguliwa na watu katika jamii ili awaonyeshe njia ya kutatua matatizo, namna ya kuhitajiana katika kuishi na namna ya kuangalia changamoto zinazoikumba jamii na kuzitatua.
Aidha kiongozi hutengenezwa ama pengine mtu huzaliwa akiwa kiongozi.
Utawala wa sheria ni ile hali ya uongozi kuhakikisha kwamba kila jambo linaloamuliwa kufanywa na jamii ama na uongozi uliopo unafuata misingi ya haki na utawala bora kwa mujbu wa sheria za nchi zilizopo.
Inafahamika kwamba mara zote kiongozi wa mwisho katika nchi nyingi huwa ni rais/mfalme n.k na kauli zao mara nyingi zitolewapo huchukuliwa kama sheria(presidential decree/orders) ndani ya jamii husika.
Sheria za jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo open sana mfano ukisoma ibara ya 13(6) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema every person is presumed innocent unless proved contrary ( yaani kila mtuhumiwa katika jamii hudhaniea hana kosa mpaka pale itakapothibitka kwamba kafanya kosa hilo)
Leo nimemsikia Rais wetu Dr John Pombe Magufuri kupia channel ya CLouds TV anasema nitajaribu kuchukua main point tu ya hoja
" Rais anatoa instruction kwa Jeshi la Polisi mkimkamata jambazi na bunduki"
Auliwe na askari atayemua asipelekwe mahakaman apandishwe cheo".
Najiuliza kwa kuwa yeye mwenyewe mh. Miezi michache iliyopita alipokua akizungumza na jeshi la Tanzania alitamka kwamba kuna askri wengne syo weredi, wanajihusisha na mauaji, wanajihusisha na vitendo vya wizi na ujambazi, leo anapotoa kauli ya mfumo huo analitakia nini taifa letu?, je ni kweli kwamba amejiridhisha kwamba hakuna askar aambao hawapatani na raia wa kawaida na kuna uwezekano wakawawekea bunduki wale wasio patana nao na kuwaita majambazo ili wawaue?
Je amejiridhisha sawa sawa kwamba ibara ya katiba hyo haina umhimu maana polisi ndio watakao kuwa wanatoa haki ya nani aishi na nani afariki kwa kosa la ujambazi? Nakumbuka ibara ya 107A ya katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 inasema chombo pekee chenye mamlaka ya kutoa haki katika jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitakua ni mahakama, je leo kuhalalisha police kuua hatuoni kwamba dhana ya "presumption of innocent" itakua imekufa?
Mara ngapi watu wamesingiziwa makosa na vyombo vya dola lakini mahakama kwa kufuata misingi ya asili ya utoaji haki wameachiwa huru?
Ieleweke kwamba katika utawala bora kanuni za utoaji haki dunian huzingatia na hizo kanuni ni rule against biasa(yaani hakuna mtu anaweza kuwa jaji ama hakimu katika tendo ambalo amelifanya mwenyewe) kwa kilatini tunasema nemo judex in causa sua)
Lakini kanuni nyingine inasema haki ya kusikilizwa( right to be heard, that means hakuna mtu atakaye hukumiwa bila kusikilizwa, yaan no one who is compelled unheard) kwa kilatini tunaita (Audi alterum Patem) sasa je hao watakao tuhumiwa kwa ujambazi watakua wamesikilizwa wapi? Na chombo gani?
Na kanuni nyingne ni sababu za kufikia uamuzi huo(reason for decision na kilatini huitwa nullium, arbitrum rational bus) yaani unaposema huyu anastahili kunyongwa ama kuuawa lazma utuambie kisheria kwanini unafikia uamuzi huo? Sina hakika na sidhani kama askari wakimtuhumu mtu kuwa jambazi wanamuda wa kufuata taratibu hizi tatu ndpo wataoe hukumu ya kifo dhidi ya mtu mwingine.
Sijawahi kuona popote katika sheria ya jeshi la police yaani (police force and auxiliary service Act, wala kwenyw Police general order PGO) panapoeleza kwamba police kazi yake itakua ni kuua watuhumiwa(not proved weather he committed an act or not)
Nijuavyo mimi sheria hyo sambamba na sheria ya taratibu za makosa ya jinai(criminal procedure Act) zinasema chombo pekee kitakacho husika na upelelezi /uchunguzi dhidi ya makosa ya jinai Tanzania litakua ni jeshi la polisi, nionavyo sasa police wamepewa kazi ya kutoa haki.
Ieleweke kwamba katiba ya Jamhur ya Muungano wa Tanzania ya 1977 inasema binadam wote ni sawa na wanahaki ya kuishi kwa mujbu wa sheria sheria hizo ni zipi ni pamoja na kanuni ya adhabu sura ya 16 iliyorekebishwa mwaka 2002. Inayotamka kwamba hasa kifungu 197 mtu atakayeua atajulikana kafanya hivyo kama amefanya kwa kukusudia(with malice aforethought)
Kifungu cha 198 cha sheria hiyo hiyo kinasema ukikutwa umeua kwa makusudi nawe utanyongwa mpaka kufa na adhabu hii inakamilishwa na kifungu namba 25 cha sheria ya kanuni ya adhabu kuwa makosa ya mauaji adhabu yake ni kunyonga mpaka kufa.
Sheria ipo peupe sana haijawahi sema jambazi akikutwa na jeshi la police ana bundiki auawe kwani kuna vifungo mbadala vimewekwa kulingana na kosa husika ambapo ni miaka 14 ama kifungo cha maisha pale mtu anapokutwa na armed robbery na jeshi la police aliyeua jambazi apandishwe cheo.
Naamini Rais anajua kwamba kila askari furaha yake ni kupanda cheo na syo kubakia koplo ama, surgent wengi wanapenda kuvalishwa nyota, yaani inspector, Superintended police, SSP, ACP, RPC na IGP sawa na kusema siku nzuri kwa mwanafunzi ni kupanda kidato sasa pamoja na mambo mengine kwakweli wamepewa njia nyepesi mno ya kupandishwa vyeo, kuua majambazi, nafkr hakuna asiyejua kutuhumiwa syo kosa ila kosa kukutwa na tuhuma zenyewe.
Ieleweke kwamba leo atatuhumiwa huyu, kesho yule keshokutwa huyu, mfano mwepesi tu tumeshuhudia maelewano mabaya kati ya polisi na raia, polisi na viongozi wa siasa polisi kwa polisi mara zingine polisi na wana harakati sasa basi kwa kauli hii kuna uwezekano kukatokea mauaji makubwa na yenye athari kubwa sana na pengine kupita ile kauli iliyowahi kutolewa na wazri mkuu mstaafu Mizengo kayanza Peter Pinda aliposema " ukifanya fujo, umembiwa usifanye fujo, ukajifanya wewe ni jeuri zaid, mjuaji zaidi, utapigwa tu na mimi nasema mpigwe tu" katika hali ya kawaida maneno hayo yalitafsiriwa na jeshi kuwa ni ruhusa kupiga wakaidi wote ndio maana baada ya kauli hiyo tulishuhudia mauaji ya watu katika mikutano ya kisiasa, maana wamepewa dhamana ya kupiga .
Way forward, tunawapenda police tunalipenda jeshi letu la police nafkri huu ni wakati muafaka wa jeshi hilo kufanya kazi kwa weledi mkubwa kwa kufuata sheria zao za upelelez wa makosa ya jinai, na kupata majibu ya haraka na hatimaye watuhumiwa kufikishwwa kwenye vyombo vinavyotafsri sheria kwa wakati.
Pia pamoja na maagizo hayo ili haki itendeke ni vema wakaangalia sheria znasemaje kwani kuna uwezekano mkubwa ikazua taharuki ndani ya jamii ya kitanzania kwano, swala la utoaji haki si jepesi kama wengi wetu tunaodhani, uzoefu unaonyesha wengi hufungwa ili hali syo wahusika wa makosa waliyoyatenda, hivyo taharuki hiyo itatokana na mauaji ya watu ambao ni innocent, pengine ndiyo maana katika vitu ambavyo report za haki za binadam pamoja na serikali inapiga marufuku ni kuchukua sheria mkononi hata kama mtu kakutwa anafanya kosa kuna mambo mengi hupelekea mtu kufanya kosa kwa mujib wa criminology and penology hivyo mtu huyo anatakiwa kusikilizwa ndpo apewe hukumu yake.
Kumbuken kipindi cha operation tokomeza ujangili wapo waliosingiziwa kujihusisha na ujangili walitaabika, waliteswa, walipigwa wakaumizwa sana , kuna watu watasingiziwa wamevunja, banki, nyumba nk kwa kutumia bundiki watauwawa maana amri iliyotolewa ni kuua.
Nashauri ni vema badala jeshi letu la police kuitwa police force angalau lianze luwa police service kama ambavyo wazir wa mambo ya ndani amelitaka jeshi la polisi kuondoa chokochoko na raia wa kawaida ili angalau washirikiane na hapo ndipo dhana nzima ya polisi jamii(police service) itajulikana
Kanuni ya kisheria inataka aliyetuhumu lazma athibitishe(he who alleges must prove) sasa mtu ametuhumiwa kwamba ni jambazi anamiliki silaha police wakibaini watamuua , hebu fikri kama mwenye silaha ametoka kuvunja bank, akapita kwa ndug yake akaomba kuiweka silaha hiyo akatoweka na ndugu huyo bila kujua kama kuna tukio hilo na pengine hajui kama mzigo huo ni SMG 3 au AK 47 police wakahisi mtuhumiwa huyo kaingia humo na kwa bahati mbaya wakaikuta ndani ya nyumba silaha hiyo kinachofuatani kifo kwa aliyekutwa na silaha hiyo(Naomben sana The Tanzania evidence Act) inatambua Transaction of the same series in formation of an offence section 9-19, swala hili hulitaka jeshi la police kufanya uchunguzi kwa kujiridhisha sana ili mtu ashitakiwe na jamhuri sio swala la siku moja ama masaa mawili.
Baada ya kusema hayo, niseme lengo ni kuikoa jamii ya kitanzania katika adhabu ya kifo hasa kwa wasio na hati, japo Jaji Mwalusanya amewahi waacha huru Mbushu Mnyaroge na wenzake dhidi ya jamhuri alipogundua kwamba adhabu ya kifo(death peanlty) ni adhabu ambayo inagharimu maisha ya watu hakuna mwenye uwezo wa kutoa uhai wa mtu mwingine i sipokua Mungu.
Naomba kuwasilisha hoja
Emmanuel Chengula
3 Dimension of Critical Thinker
chengula2014emmanuel@gmail.com

Comments
Post a Comment