MAKAMU MWENYEKITI BAVICHA BARA MH PATRICK OLE SOSOPI AKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA

Tayari Jeshi la  Polisi limemkamata Makamu M/kiti wa BAVICHA muda huu hapa Iringa Mjini baada tu ya kumaliza Mahafali ya CHASO.


Kosa ni la uchochezi wa Kisiasa ambalo alilitenda akiwa DSM katika Mahafali ya CHASO ya tarehe 18/06/2016.

Hivyo atasafirishwa kutoka Iringa kwenda DSM kwaajili ya mahojiano na baadae Mahakamani.

Imetolewa June 26

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI