HAYA NI MATOKEO RASMI DR JOHN POMBE MAGHUFULI AIBUKA KIDEDEA KWA ASILIMIA KUBWA.


SOMA HAPA
Jumla ya kura zilizopigwa ni
2422, zilizoharibika ni kura 6.

Asha  Rose Migiro  alipata kura 59 sawa na 2.4%

Amina Salumu alipata kura 253   sawa na  10.5%

Na Dr. John Pombe Maghufuli alipata kura 2104 sawa  87.1%

 Huyu ndiye atakayepeperusha bendera ya CHAMA CHA MAPINDUZI.

Comments

Popular posts from this blog

Ujasusi/Upelelezi/Udukuzi, maana yake halisi na uhatari wake.

Posho hii ifike hadi kwa walimu

UPATIKANAJI AJIRA KIWANDA CHA CEMENT MTWARA CHA KUTWA NA KASHIFA NZITO