MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA
MAANA HALISI YA USHOGA KATIKA SIASA. Wapendwa wasomaji wa makala zangu kwanza kabisa niaze kwa salamu, shikamoni wakubwa, habari za leo na hamjambo mlio wadogo kwangu. Ni tumaini langu mu wazima huku mkiendelea kushangilia umasikini tulionao. Awali ya yote ningependa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya ushoga japo niliwahi kuandika andiko la kufanana na hili mwaka wa jana mwenzi wa kumi na moja, wengi walikimbilia kutukana tu bila kuangalia maudhui ya andiko nilichokiandiko ndicho kinachoendelea hivi sasa inshallah tuachane na hayo. Nisikuchoshe usinichosha"Ushoga"una maana kuu mbili nijuavyo mm na wachache au wengi wetu. Maana ya kwanza ushoga ni tabia ya mwanaume kuingiliwa kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake yaani mwanaume kuingizwa uume na mwanaume mwenzake kwenye tundu la kutolea haja kubwa (kinyesi) . Hali hii humfanya mtu anayeingizwa kujikuta kuhitaji mara kwa mara kutokana na muwasho anaoupata siku chache baada ya tendo hilo chafu na ovu, kwani wadudu/bacteria
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete