𝐅𝐀𝐈𝐃𝐀 𝟓 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐙𝐎 𝐔𝐁𝐎𝐍𝐆𝐎 𝐖𝐀𝐊𝐎 𝐔𝐍𝐀𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐊𝐔𝐅𝐀𝐍𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐙𝐎𝐄𝐙𝐈

Na Dr.Elimina Chuma,MD



Unapofanya mazoezi kuna kemikali na homoni mbalimbali zinazotengenezwa ambazo zina faida kubwa kwa ubongo na afya ya akili.


𝐊𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐞𝐦𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢/𝐡𝐨𝐦𝐨𝐧𝐢 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐢𝐧𝐚 𝐟𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐳𝐚𝐤𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐢𝐟𝐮𝐚𝐭𝐚𝐯𝐲𝐨:

1. Endofini- hupunguza maumivu;
2. Serotonini- hukusaidia kujisikia vizuri kwa ujumla;
3. Dopamini- hukuchangamsha, zinakupa motisha, umakini na zinakusaidia kujifunza;
4. Norepinefrini- huongeza umakini, mtazamo na hukupa motisha na
5. Zipo homoni zingine ambazo zinasaidia kukarabati mishipa ya fahamu, kuunganisha seli mbalimbali za ubongo na kusaidia akili kufunguka zaidi.

Taja faida zingine za mazoezi.

#exercise #fitness #workout #gym #motivation #health #fit #training #fitnessmotivation #healthy #healthylifestyle

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI