JIPATIE NYUMBA YA KISASA YENYE HADHI YA KIMATAIFA KWA BEI POA ILIYOPO MKOANI GEITA, KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA 0687812220 au 0659970824

Hii ndio nyumba ya kisasa inayouzwa mkoani Geita kwa mawasiliano zaidi piga 
0687812220
au
0659970824
Ewee Mdau wa maendeleo, mpenda maendeleo, mpambanaji wa ukweli jipatie nyumba nzuri yenye hadhi nzuri kwa bei poa kabisa.
"Nyumba hii ipo sehemu nzuri sana eneo la Mtaa wa Msufini katika kata ya Kalangalala, Makao makuu ya mkoa wa Geita"
Kwa mjibu wa mmiliki wa nyumba hiyo alisema Nyumba yake ina vyumba 17 kila chumba kina ofisi yake kubwa yaani" Toilet" kwa kifupi  ni kwamba kila chumba ni  Self.

Mmiliki huyo alisema pia "Nyumba yangu inafaa kwa kukaa familia  au biashara kutakana na uwingi wa idadi ya vyumba, ni nyumba yenye ubora na muonekano mzuri tena wa kisa

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI