NA RUSTON MSANGI. Kila mfanyakazi anapoajiriwa huwa kuna utaratibu maalumu wa malipo, yaani mshahara kwa mwezi au vyovyote vile kutokana na mkataba wa kazi. Mbali na malipo ya mshahara katika ajira, pia huwa kuna namna tofautitofauti ya kuwapatia fedha ya ziada wafanyakazi wa eneo au taasisi fulani ili kuongeza morali ya ufanyaji kazi, kupunguza makali ya maisha, kufidia muda wa ziada katika kazi nk. Hii fedha hujulikana kama posho. Posho hii inaweza kutolewa kwa mwezi, siku, saa nk. Posho huweza kuwa kwa ajili ya chakula, usafiri, malazi, utendaji au namna yoyote ili itakavyokuwa imepangwa na mwajiri kwa makubaliano maalumu. Watumishi nchini Tanzania katika serikali na mashirika binafsi wanapokea posho kutokana na majukumu Yao. Kwa mfano, madaktari na polisi. Kwa upande wa walimu kwa muda mrefu imekuwa ni tofauti sana kuhusiana na suala la posho, japokuwa mwalimu mbali na jukumu kubwa na muhimu la kufundisha, hufanya kazi nyingi nyingine akiwa...
MAANA HALISI YA USHOGA KATIKA SIASA. Wapendwa wasomaji wa makala zangu kwanza kabisa niaze kwa salamu, shikamoni wakubwa, habari za leo na hamjambo mlio wadogo kwangu. Ni tumaini langu mu wazima huku mkiendelea kushangilia umasikini tulionao. Awali ya yote ningependa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya ushoga japo niliwahi kuandika andiko la kufanana na hili mwaka wa jana mwenzi wa kumi na moja, wengi walikimbilia kutukana tu bila kuangalia maudhui ya andiko nilichokiandiko ndicho kinachoendelea hivi sasa inshallah tuachane na hayo. Nisikuchoshe usinichosha"Ushoga"una maana kuu mbili nijuavyo mm na wachache au wengi wetu. Maana ya kwanza ushoga ni tabia ya mwanaume kuingiliwa kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake yaani mwanaume kuingizwa uume na mwanaume mwenzake kwenye tundu la kutolea haja kubwa (kinyesi) . Hali hii humfanya mtu anayeingizwa kujikuta kuhitaji mara kwa mara kutokana na muwasho anaoupata siku chache baada ya tendo hilo chafu na ovu, kwani wadudu/bacteria...
Ujasusi/Upelelezi/Udukuzi, maana yake halisi na uhatari wake. By: Yericko Nyerere. Mwandishi wetu mahili Mr Yericko Nyerere Mpelelezi ni mtu anayekusanya taarifa za adui , mshindani wa biashara au serikali adui ila saa nyingine mpelelezi huyo anaweza kufanya kazi ya kumpeleleza adui ila akamgeuka basi wake aliyemtuma kwa sababu mbalimbali . Mtu huyu huwa anakusanya taarifa hizi kwa siri kwa kuangalia , kusikiliza , kufuatilia na kutumia vifaa vingine kutokana na ukuaji wa tekinolojia lakini lengo ni lile lile kupata taarifa za siri bila mhusika , wahusika kujua kwamba taarifa zao zinachukuliwa . Shuguli za upelelezi zimekuwepo kwa miaka mingi toka binadamu ameanza kuishi duniani na kila kipindi zinabadilika utokana na ukuaji wa binadamu kimbinu , vifaa na wahusika wenyewe . Kutokana na kukua kwa tekinologia watu wengi wametumia tekinologia hizo kukusanya taarifa na kuacha njia za asili ya upelelezi ambazo wakati mwingine ni sahihi kabisa kwa wakati huu . Ili jamii F...
Comments
Post a Comment