MEYA WA MANISPAA YA UBUNGO MH BONIFACE JACOB AZINDUA KITUO CHA KIPYA CHA KIELETRONIKI CHA KULIPA

Mstahiki Meya Jacob Boniface akiwa katika uzinduzi


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob, leo Ijumaa 30 Julai 2017, amezindua kituo cha kisasa cha kukusanya kodi, ushuru na tozo mbalimbali katika eneo la Simu 2000.

Hii itapunguza kero kwa  wananchi wanaoishi maeneo ya karibu na eneo la Simu 2000, kulipa kodi, ushuru na tozo mbalimbali ambapo awali walilazimika kwenda Kibamba zilizopo ofisi za Manispaa ya Halmashauri ya Ubungo.

Kituo hiki kipya kinategemea kuwasaidia wakazi wa Sinza, Mabibo,  Makuburi, Ubungo na maeneo yote ya karibu.

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI