BREAKING NEWS: MH EDWARD LOWASSA ATAKUWEPO MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI LEO SAA SITA MCHANA
Waziri Mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa leo akuwepo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kujua hatma ya tuhuma zinazomkabili juu ya uchochezi .Mh Edward Lowassa anatarajia kufika makao makuu ya Jeshi la Polisi mnamo majira ya saa 6 mchana kama alivyoelekezwa na Jeshi hilo hilo la Polisi.,Inasemekana atasindikizwa na Polisi kutoka nyumbani kwake hadi makao makuy ya jeshi la polisi.
Endelea kufuatilia kwa karb upate habari zaidi
Endelea kufuatilia kwa karb upate habari zaidi
Comments
Post a Comment