Je tunatibu dalili au tunatibu ugonjwa?

Ugonjwa ndio unasababisha dalili. 

Na Dr Cyrilo

Unaweza kutibu dalili usitibu ugonjwa (na sidhani kama neno kutibu litakuwa sahihi hapo)

Lakini ukitibu ugonjwa bila shaka utakuwa umeondoa dalili. 

Mfano! Dalili za Malaria: homa, maumivu ya viungo, kichwa, kuchoka mwili, kutapika.... nk

Sasa ukipewa dawa ya homa na maumivu, yawezekana homa na maumivu vikaoungua au kuondoka, lakini bila dawa ya kuangamiza vimelea vya Malaria bado hujatibu ugonjwa... Na kwahiyo dalili hizo zitarejea opunde... 🤷🏽‍♂️

Comments

Popular posts from this blog

MAANA HALISI YA USHOGA WA KISIASA, OGOPA KAMA UKOMA, EPUKA KUTUMIKA

KILIMO CHA NYANYA

SABABU ZA WASOMI KUWA MASIKINI