NA RUSTON MSANGI. Adui ni kiumbe au mtu anayemtendea mwingine uovu, kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu. Uovu unaweza kuwa wa moja kwa moja au hata kwa njia ya kutotimiza majukumu vizuri. Chama cha walimu Tanzania CWT, ni miongoni mwa vyama vya wafanyakazi nchini, kinachoshughulika na walimu. Kwa mujibu wa katiba ya CWT, pamoja na madhumuni mengi ya chama hiki, jukumu kubwa na la pekee ni kusimamia hadhi, haki na maslahi ya walimu kitaaluma, kiuchumi, kijamii nk. Ni ukweli usiopingika kwamba ni vigumu kwa mwalimu mmojammoja kujitetea lakini kupitia umoja au taasisi ya CWT inakuwa rahisi zaidi. Kauli mbiu ya CWT ni HAKI na WAJIBU. Kwa miaka mingi kinachoangaliwa ni WAJIBU huku HAKI ikiwa imezikwa na kuachiwa kila mmoja kujitetea. CWT inaendeshwa kwa pesa za wanachama wake ambao ni walimu, kwa makato ya 2% ya mshahara kila mwisho wa mwezi. Hivyo kama ni rasilimali fedha ipo ya kutosha kufanya kazi kwa maslahi ya walimu. Nitakupa mfano kiduchu wa mapato ya CW...
NJE NDANI KATIKA SOKA
ReplyDeleteNo.1. ...Timu ya chelsea ni iliyofanikiwa kuwa bingwa wa wingereza kwa msimu huu ulioshia,pamoja na yote tmu hii ilitoka kwenye ukata mkubwa wa kikombe cha uingereza kwa takribani miaka mitano iliyopita.kuna jambo moja lilikuwa linatokea kwa bosi mkubwa kutokuwa na mahusiano mazuri na mameneja wake kwa kuingilia utendaji wa kazi zao...hakika nadiriki kusema hakuna kocha wa chelsea alifukuzwa ambapo alistahil kufukuzwa zaidi ya andreas villa boas,baada ya majuto yote hayo abromovichi aliamua kumfuata morinyo na kupewa masharti ya kutoingiliwa kwenye timu.baada ya miaka miwili mmorinyo kukabidhiwa timu amechukua ubingwa wa baclays huku akipewa ushirikiano wa hali ha juu na boss wake pamoja na kurugenzi nzima ndani ya tmu.alitulia akasajili pale palipostahili kuziba nafas timu ikawa na nguvu kubwa.
2. Tunawachezaji wengi timu ya taifa lakini wote ukiwauliza ndoto zao watakwambia nataka kucheza simba na yanga na nifanye vizuri timu ya taifa,ni aibu kwa kweli jamani.ulaya mchezaji pamoja atakwambia anataka kucheza vilabu vikubwa lakini atakwambia nataka kucheza Uefa champions hapo ndo nnapo ona hatuna dira kabsa wachezaji hawawazi kucheza Cuf champions legue,wachezaji hao hao watakwambia wanataka kwenda ulaya.leo ngoja ni waulize unatamani vip ku heza ulaya ukiwa hujaonesha hata robo ya uwezo wako Afrika? Najua hamna mawakala lakini kwa huna uchungu wa kuifunga zamalek leo hii unataka kukabana na neymar ngoja niwape mfano unajua suarez alikotoka mpk leo yupo barca.safar yake ni ndefu bt kwa ulaya alianzia ajax.mpaka unamuona hapo alipo.hebu aanzeni kuwa na tamaa kucheza na kuwa washindani afrika kabla hamjaenda huko mbele jamani.
3.ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mchezaji wa kitanzania kucheza akiwa ana mkataba wenye kumpa haki.najua utaniuliza kwann lakin hiv ujanjaujanja wa watu binafsi kufaidika na wachezaji wetu kutanguliza shida mbele ndo tatizo.yaliyomkuta ngedere ndo hayo hayo yalio mkuta singano na wengine amini nakwambia.wakala huna je unashindwa kumtafuta mwanasheria ukampa hela kama kweli unaingia mkataba wa milioni zaidi ya hamsini au mnakuwa mnadanganya umma kwamba hizo sio pesa mnazopewa.msiwe sokabongomovie watu mnapewa milioni kumi mnasema hamsini.
Chaji kikwazo ntaendelea bdae nmeishia namba tatu.