KUKITHIRI KWA VITENDO HARAMU VYA MAUAJI YA ALBINO KWAITIKISA TANZANIA. Na Shindo Kilawa Pichani ni baadhi ya matukio yaliyofanywa kwa wenzetu hawa wenye ulemavu wa ngozi šKEMEA ,PAZA SAUTI ,SEMA VIFO VYA MAALBINO SASA BAAASIIIIII KWA NGUVUš Kumekuwa na mtikisiko mkubwa nchini Tanzania kwa vitendo haramu na vya kikatili vinavyoendelea ndani ya jamiii zetu kwa hawa ndugu zetu Albino.Vitendo hivi vinaendelea kuwatia hofu wananchi wenzetu na kujikuta kama wao ni wakimbizi ndani ya nchi yao ,pia wazazi wao hawana raha kila kuchwao .Hakika inasikitisha ,inahuzunisha,inasonosha,inagadhabisha pale unaposikia au kuona katika vyombo vya habari binadamu mwenzako kakatwa viungo au kauwawa na binadamu wenzetu ,wala sio fisi wala sio simba mmmmmmmh. Naomba tuangalie kwa kifupi maana halisi ya Albino. Albino ni nani? Bila shaka kila mmoja wetu neno hili ...